baaada ya kuumia de gea man united imepata pigo la pili baada kiungo wao bora blind ameumia goti wakati akiichezea timu ya taifa ya uholanzi dhidi ya latvia huku uholanzi ikishida 6-0 uchunguzi wa awali blind anaweza akawa nje kwa wiki sita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment