Wachezaji wa Simba na Yanga wakisalimiana.
Kikosi cha Simba waliosimama kutoka kulia kocha Logarusic, Joseph Owino, Jonas Mkude, Hamis Tambwe, Donard Musoti, Henry Joseph, na kocha msaidizi Seluman Matola waliochuchumaa kutoka kulia ni Issa Rashidy, Awadh Juma, Ivo Mapunda, Haruna Chanongo, Haruna Shamte na Salum Said |
Kikosi cha Yanga kutoka kulia waliosimama David Luhende. Haruna Niyonzima, Frank Domayo, Mrisho Ngassa, Mbuyu Twitwe, Kelvin Yondani, Athumain Idi, Hamis Kiiza, Nadir Haroub, na Kavumbangu aliyeinama na golikipa Juma Kaseja |
Benchi la timu ya Simba.
Benchi la Ufundi la Yanga.
Henry Joseph wa Simba (kushoto) akichuana na beki wa Yanga, David Luhende.
Henry Joseph wa Simba (kushoto) akichuana na beki wa Yanga, David Luhende.
Mashabiki wa Simba wakishangilia bao la kwanza la Hamis Tambwe.
Raha ya ushindi .
Furaha kwa Simba.
Hamisi Kiiza akitafuta mbinu za kumtoka, Ramadhani singano.
Ivo Mapunda akiruka juu kuokoa moja ya hatari langoni mwake.
Mashabiki wa Yanga wakiwa hawaamini kilichotokea uwanjani baada ya kuchapwa 3-1 na watani zao wa jadi Simba.
Juma Kaseja akibembelezwa na Mbuyu Twite baada ya kusababisha goli la tatu
Mmoja wa mashabiki wa Yanga akitolewa nje baada ya kuzimia uwanjani.
Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Simba.
Wachezaji wa akiba wa Simba wakishangilia baada ya filimbi ya mwisho.
Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic akishangilia baada ya timu yake kuibuka na ushindi wa 3-1.
Wachezaji wa Simba
wakimnyanyua juu kocha wao, Zdravko Logarusic mara baada ya kumalizika kwa
mchezo maalumu wa Nani Mtani Jembe uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-1.Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe akimkabidhi kombe nahodha wa Simba Haruna Shamte.
Kapteni wa Simba HARUNA SHAMTE akinyanyua kombe juuuuu |
Simba wakifurahi na mwali wao baada ya kumshida Yanga |
Baadhi ya bechi la simba na wachezaji Awadhi(16), Shamte(26) Hamud(24) na Berko nyuma Wakipiga picha na kombe |
0 comments:
Post a Comment