KIPA
DAVID DEGEA WA MAN UNITED ATAKUWA NJE YA UWANJA KWA TAKRIBANI WIKI NNE
KUTOKANA NA KUTEGUKA KIDOLE KATIKA MAZOEZI YA TIMU YA TAIFA YA HISPANIA,
JANA. MAN UNITED ITAKUWA NA KIBALUA KIGUMU WIKI IJAYO KWENYE UWANJA WA
EMIRATES JIJINI LONDON DHIDI YA ARSENAL. |
0 comments:
Post a Comment