IS
BLOCK (RRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR)
Mashidano ya inter blocks cup imefikia tamati katika viunga vya COED udom kwa vijana kutoka kijijini (ujasi) BLOCK(R) kuwa mabingwa wa kwanza wa michuano hii kwa kuwafunga watoto wa mwarabu BLOCK(H) kwa penaty (4 kwa 3)
ZAWADI(MBUZI) |
WASHIDI WA INTER BLOCKS CUP
MSHIDI WA KWANZA
-Block (R)-zawadi mbuzi watatu na kombe
MASAI KAPTENI WA BLOCK (R) AKISALIMIANA NA MGENI RASMI ILI KUPEWA KOMBE LAO |
MSHIDI WA PILI
-Block (H)-zawadi mbuzi mmoja na cret moja
GERRAD AKIPOKEA MPUNGA NA MBUZI WAO |
MSHIDI WA TATU
-Block (I)-zawadi cret mbili za soda
KITARIMA KAPTENI WA BLOCK(I) AKIPOKEA MPUNGA WA MSHIDI WA TATU |
WASHIDI KWA AKINA DADA
MSHIDI WA KWANZA
-Kombaini ya Block (A,D&K)-zawadi mbuzi moja na kombe
MARIAM AKIKABIDHIWA KOMBE NA MGENI RASIMI |
MSHIDI WA PILI
-Kombaini ya block(L,N,&O)
-zawadi cret mbili za soda
TUZO MBALI MBALI KATIKA MICHUANO HII
MCHEZAJI BORA WA MICHUANO
-beki kutoka block(H)-zawadi jezi orginal
BEKI KISIKI LA BLOCK(H) wa pili kutoka kushoto ndio MCHEZAJI BORA |
MFUNGAJI BORA
-Danny-mabao sita(6)
-mshambuliaji kutoka block(H)
-zawadi jezi orginal
MCHEZAJI MWENYE NIDHAMU
-Kitarima robert-kapteni kutoka block (I)
-zawadi jezi orginal
KAPTENI BORA WA MICHUANO
-Steven Karim-kapteni kutoka block(E)
-zawadi jezi orginal
GOLIKIPA BORA
-kutoka block (I)-zawadi jezi orginal
GOLI BORA
-Sekenja Mwenga-mshambuliaji kutoka block(H)
-goli kati ya block(F) vs block (H) nusu fainali
-zawadi jezi orginal
MCHEZAJI BORA KWA AKINA DADA
-Mariam- kapteni wa kombaini ya block (A,D,&K)
-zawadi jezi orginal
MATUKIO MBALI MBALI YA MECHI ZA LEO
KIKOSI CHA KOMBAINI YA BLOCK(A,D,&K) |
KIKOSI CHA KOMBAINI YA BLOCK(L,N,&O) |
. MGENI RASIMI AMBAYE NI RAISI WA KITIVO CHA ELIMU UDOM |
MARIAM AKIIFUNGIA TIMU YAKE BAO KWA NJIA YA PENATI |
KAPTENI WA KOMBAINI YA BLOCK(L,N&O) AKIWA KAZINI |
MABINGWAAAAAA BLOCK(R) |
RAISI MWAMBENE IKIWA MEZA KUU NA MAKOMBE |
JAMAA ALIKUWEPO KUWAPA SAPOTI BLOCK(R) |
KILICHOWAKOSESHA KOMBE BLOCK(H) NI HIKI ALIWAKUWA WAMEJITANGAZA MABINGWA KABLA YA MECHI IKAWA KINYUME CHAKEEE |
WANAUMATI WALIKUWEPO KUGAWA KONDOMU UWANJANI |
MWANAGOLOSO MOLLA JEROME WA KWANZA KUSHOTO IKIWA NA BOX LA WANAUMATI |
BLOCK(R) WAKISHAGILIA |
FURAHA NA MWARI JUUUUUUUU |
KAPTENI WA BLOCK(H) AKILIA BAADA YA MECHI AKIWA NA MENEJA WA TIMU YAKE |
MASHABIKI NAO WALIFURIKA |
0 comments:
Post a Comment