Pages

Saturday, 21 December 2013

BAADHI YA MATUKIO MECHI YA SIMBA NA YANGA

Mashabiki wa simba
Golikipa wa timu ya simba akidaka mpira
Hamis Tambwee akifuga bao la pili dak ya 45 kwa penaty
 Beki ya Yanga kelvin Yondani (katikati) akitoa hatari mbele ya wapinzani wake Hamis Tambwe kulia na Haruna Chanongo kushoto
Mrisho ngassa akijaribu kumpiga chenga beki wa simba Musoti
ama kweli ushidi raha, shabiki wa timu ya SIMBA akiwa amevua nguo baada ya Awadh Juma kutupia bao la tatu kambani
 

0 comments:

Post a Comment