Mbunge Baruani Asubuhi ya Leo Mjini Bungeni Dodoma kwa Michango ya muhimu
katika taifa letu Salim Baruani Mbunge wa CUF kutoka Lindi mjini,
Ameweza kuongelea mambo ya muhimu sana katika swala la Gesi na kusema
kuwa watu wa mtwara wamefichwa mengi pamoja na wabunge pia juu ya
mikataba ya gesi na kutokana na watu wa mtwara kuhoji serikali inawaona
wabaya kwani kuna siri gani?mpaka sasa wamezuia mikutano ya siasa mtwara
pamoja na lindi akasema mtwara isije kuwa kama madini shinyanga sasa hivi ni mashimo tu amna maendeleo yoyote ,
Akaongelea juu ya Bandari hivi serikali inaakilri kweli inaenda kujenga
bandari mpya wakati kuna bandari ya mtwara ambayo ni bora sana msingi
ni kuendeleza unaenda kukupo pesa kuingiza nchi katika madeni makubwa
wakati kuna bandari za kundeleza unaenda kujenga bandari mpya bagamoyo,
Aliweza sema kuwa wabunge tunatakiwa kusema serikali tunataka kuona
mikataba ya madini pamoja na gesi hapa bungeni na sio kuomba kwani nasi
ni serikali kwanini wanaficha kuna nini?mpaka wanaficha hiyo mikataba,
Mwisho kutoka kwa mchambuzi wa siasa eti wanaingia katika mikataba ya
gesi lakini amna sera ya gesi hivi serikali hii inajitambua kweli akili
au matope,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment