Mshambulia hatari wa TP Mazembe imeihama rasmi klabu yake na kukimbilia kwa mabingwa wa Angola timu ya Kabuscorp na kuwacha watanzania wawili Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu kuwa washambuliaji tegemeo kwenye club hiyo tajiri ya Congo taarifa kutoka website ya club hiyoo Mputu ataambulishwa jumamosi ya wiki hii mjini Luanda |
0 comments:
Post a Comment