Pages

Tuesday, 17 December 2013

OKWI OKWI OKW JAMANI



Mbuyu Twite alisajiliwa Simba kutoka APR ya Rwanda lakin ghafla Yanga nao wakamsajili kupitia Fc Lupopo ya Congo Drc.Mwisho wa cku Tff walimuidhinisha Yanga coz Twite alikua kwa mkopo wa miaka mi5 APR...Hivyo APR hawakua na uwezo wa kumuuza Twite kisheria!
Sasa vp kuhusu Okwi ambae alikua kwa mkopo wa miez 6 Villa?
Na kama mkataba na tim yake ya Etoile ulivunjwa so Okwi alikua mchezaj huru? Vp mchezaj huru auzwe? Na kwann CAF waliitahadharisha Uganda kum2mia Okwi kwenye michuano ya CHAN wakat Okwi ni mchezaji halal wa Villa inayocheza lig ya ndan?.......Kuna baadhi ya wa2 wanamhalalisha Okwi Yanga kwa 7bu ya ITC yake kupatikana haraka kutoka Villa...Unakumbuku TP MAZEMBE walifungiwa miaka 3 kwa kumchezesha mchezaj ambae alikua na ITC na alishacheza mechi 3 za mwanzo lkn bado alikua akimilikiwa na Esperance ya Tunisia ? Ok lkn hawa ni CAF ambao sheria zao ni msumeno,cjui TFF ambao sheria zao zina2ngwa kwenye vijiwe vya kahawa na bar,tena maamuz yao huwa ni ya kisiasa zaid kuliko ukwel! Hapa ndio utajua TFF ni shirikisho la mpira linalofuata sheria au?
Stay     Utashangaa!
Waswas wangu inaweza ikawa ni mipango ya kujaza mashabiki mech ya kirafiki mtan jembe Simba v Yanga!
Wa2 watajaa sana kwa ajili ya kumuona Okwi,mwisho wa cku wajanja watapiga hela yao kweupee,kisha ndio utaanza mchakato wa kuamua issue ya Okwi!
Dk 90 zitamalizika,mapato mil 400,mgao Yanga mil100,Simba mil100,Sambusa na Soda na maandalizi ya mchezo pamoja na vyama vyao vya ujanjaujanja mil160 na kinachobak TRA.....
Hahahahaa! TENGA aliingia Tff akiwa mzee na mwembamba sana,lkn ametoka kijana mtanashat na bonge la m2!....SOKA LA BONGO-HA2A 1 MBELE,HA2A 10 NYUMA!
     By yossima source: simba & yanga fans group 

0 comments:

Post a Comment