MATOKEO
BLOCK (F) 2 VS BLOCK (P) 2
block F wamefuzu hatua ya pili kwa jumla ya mabao manne kwa mawili ya block P
MATUKIO MBALI MBALI KWENYE PICHA
KIKOSI CHA BLOCK P KIKIOMBA DUA BAADA YA KUANZA MECHI |
HATARI LANGONI MWA BLOCK (F) |
REFA WA MECHI |
BENJA MFUNGAJI WA BAO LA KWANZA LA BLOCK (P) |
TORRESSSSSSSSS MFUNGAJI WA BAO LA PILI LA BLOCK (P) |
BLOCK (P) WAKISHAGILIA BAO LA PILI |
MADOCTA BLOCK (F) WAKIPEWA MAWAIDHA NA KOCHA WAO |
WACHEZAJI WANATOA MAONI KWA BECHI LA UFUNDI |
TORRESS AKIWANIA MPIRA MBELE YA MABEKI WA BLOCK F |
KATA MTI PANDA MTI KAMISAA WA MECHI AKIFANYA MABADILIKO |
MECHI YA PILI
BLOCK (Q) 0 VS BLOCK (R) 4
Timu ya block R imeungana na timu za block I, J, na F kufuzu hatua ya makundi
MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA
KIKOSI CHA BLOCK (R) |
KIKOSI CHA BLOCK (Q) |
MASAI mwenye jezi nyeusi MFUNGAJI WA MABAO MAWILI YA BLOCK (R) |
KOCHA WA BLOCK (Q) AKITOA MAELEKEZO KWA WACHEZAJI WAKE |
BLOCK (R) |
FULL BEKI WA KIKOSI CHA BLOCK (R) |
KOCHA WA BLOCK (R) AKITOA MAELEKEZO KWA MCHEZAJI WAKE |
KOCHAA WA BLOCK Q AKIWA HAAMINI KINACHOTOKEA UWANJANI |
MAJI YAKAZIDI UNGA HADI AKAVUA KOTI LAKE |
SHULEE KAZI KWELI KWELI ISSA NA MROPEE WAKIMEZA MODULE UWANJANI |
MSHIKA MAWILI MOJA HUMPONYOKA MROPE AANZA KUANGALIA MECHI TENA |
WAKIENDELEA NA KAZI KUSOMA MODULE |
0 comments:
Post a Comment