MATOKEO
BLOCK (M) 1 VS BLOCK (H) 2
Mechi iliyochezwa jioni ya leo katika viwanja vya COED block (M) washidwa kuwafunga timu ya block(H) Kipindi cha kwanza kilianza kwa kuponza maana kila timu ilikuwa inacheza kwa taadhari kubwa sana ila dak.29 block(m) waliweza kupata bao la kuongoza lililofungwa kwa kichwa mpaka mapumziko block (h) walikuwa nyuma kwa bao moja kwa bila
kipindi cha pili kilianza huku block(h) wakiuanza mchezo kwa kasi haikuchukua muda dak ya 51 kijana DANNY maarufu kama MWAPE aliweza kuisawazishia timu yake bao,hali ukabadilika kwa block M wakishambuliwa sana winga machachari na msumbufu SAM aliweza kuifungia timu yake bao la pili na laushidi dak ya 75, block (m) wakiwa wanahaha kusawazisha dak ya 85 timu ya block (H) walipata pigo baada ya mshambuliaji wao hatari Danny kupewa redd kad na refa wa leo baada ya kumsukuma beki wa block (M) kwa makusudi
 |
KIKOSI CHA BLOCK (M) |
 |
KIKOSI CHA BLOCK (H) |
 |
VIJANA WA BLOCK (H) WAKIPATA MAJI NA MAELEKEZO KUTOKA KWA KOCHA WAO |
 |
KOCHA NAYEEE ANATOA MAELEKEZO KWA TIMU YAKE |
 |
DANNY MFUNGAJI WA BAO LA KWANZA LA BLOCK (H) mwenye viatu vyekundu |
 |
BLOCK (H) WAKISHAGILIA BAO LA PILI |
 |
SUM, MFUNGAJI WA BAO LA PILI LA BLOCK (H) |
0 comments:
Post a Comment