Pages

Sunday, 12 January 2014

INTER- BLOCKS CUP BLOCK(I) NA BLOCK (J) WAFUZU


MATOKEO
 BLOCK (I) 1 VS BLOCK (G) 1
Mechi ya leo ilianza sa1:40 asbuhii block I waliuanza mchezo kwa kasi wakitafuta bao la mapema iliwachukua dak ya 18 vijana wa block I kupata bao kwa kiki iliyopingwa na kumparaza golikipa na kutinga kimia. vijana sandee, mrisho, mdutch waliweza kumliki mpira dimba la kati  na  kuwanyima raha sana matajiri wa block G. mpaka mapumziko vijana wa block I walikuwa mbele kwa bao moja ka bila
kipindi cha pili kilianza kwa kasi huku block I wakifanya mabadiliko ya kinyemela bila kumwambia kamisaa wa mechi ya leo ila refaa wa leo alikuwa makini zaidi ya kumakinika ambapo alilitambua hilo na kumwamrisha kamisaa wa mechi ya leo kuandika adhabu yao kwenye ripoti ya mechi huku wakishidwa la kufanya
matajiri wa block G walifanya mabadiliko ya wachezaji wanne issa, tikotiko, na mzee wa hakunaga mabadiliko hayo yaliwasaidia sana kwan munamo dak ya 60 issa aliweza kuipatia timu yake bao la kusawazisha. ikiwa block I wamepoteana na kushidwa kumudu mipira ya juu matajiri wa block G walipata pigo kwa mshambuliaji wao TIKOTKO kupewa red kadi ikiwa red ya pili katika michuano hiii. mpaka dak mwisho  BLOCK I bao moja Vs BLOCK G bao moja kwa matokeo hayo BLOCK I imefuzu hatua inayofuata kwa jumla ya mabao mawili kwa moja.
BLOCK G watajilaumu wenyewe kwan wana timu nzuri yenye wachezaji mafundi wenye uwezo ila manejimenti yao na organisation yao ni poor poor kbsa.
KIKOSI CHA BLOCK (I)

MAJENGA NDEGE(MASHERANO) BEKI WA KIKOSI CHA BLOCK (I)

HEKA HEKA LANGONI MWA BLOCK(G)

MENEJA WA TIMU YA BLOCK (I) AKIFANYA KAZI YAKE

UNAMFAHAMU DAVIS MWAPE MZAMBIA ALIYEKUWA YANGA HUYUU HAPA MWENYE CHUPA YA MAJI AKIWA NA MRISHOOO (RONADHINO GAUCHO WA ST)

MFUNGAJI WA BAO LABLOCK (G) ISSA ( mwenye bukta nyeusi)

BLOCK (G) WAKIOMBA DUA

AMA KWELI UKOCHA KAZI GUMU MUONE KOCHA WA BLOCK (E)




BLOCK (J) 0 VS BLOCK (S) 0
Mechi ya pili iliyochezwa katika viwanja vya COED timu  zilishidwa kutambiana baada ya kutoa suluhu ya bila kwa bila BLOCK J ndio walikuwa wa kunza kufika uwanjani huku wakiiamin kuwa mzee wa masters BLOCK S hawatafiki ilipofika sa 9;35asbh wanaume wa block S walitinga uwanjani kwa mbwembwe ya hali ya juuu na kuwatisha sana block J ambao walikuwa wanawaogopa mafundi hao ambao hawana pumzi mpaka mechi ilianza kwa kupooza sana sana kili timu ikiwa inashambulia kwa akili na kurudi kulinda lango lao kwa makini  mpaka mapumziko ngoma ilikuwa suluhu bini suluhu,
kipindi cha pili kilianza kwa kasi huku kila timu zikishambuliana kwa zamu. mpaka filimbi ya mwisho   BLOCK J zero na BLOCK S nao ziro kwa misingi hyooo BLOCK J imekuwa timu ya pili kutoka mjini ikiwa imepata tiketi ya kuingia kwenye makundi kwa bao la ugenini.
KAMISAA WA MECHI AKIKAGUA KIKOSI CHA BLOCK (J)

WAZEE WA KAZ BLOCK (S)

REFA AKICHUKUA HINTS KABLA YA KUANZA MECHI

KAZI NI KAZI

LANGONI MWA BLOCK (S)

KOCHA WA BLOCK (S) mwenye jezi ya azam AKITOA MAELEKEZO KWA KIKOSI CHAKE

BLOCK (J) NA BECHI LA UFUNDI

KOCHA WA TIMU YA BLOCK (J) AKITOA NONDOZ KWA MCHEZAJI WAKE

WANAKIDEDEA WA TIMU YA BLOCK (S)



0 comments:

Post a Comment