Pages

Monday, 13 January 2014

INTER-BLOCK CUP HATUA YA MTOANO YAMALIZIKA LEO

MATOKEO
BLOCK (H) 2 VS BLOCK (M) 2
wafungaji
BLOCK H (dak:8 mwenga dak. 23 danny)
BLOCK M (alex dak13,80)
KIKOSI CHA BLOCK (H)

KIKOSI CHA BLOCK (M)

REFA WA MECHI YA BLOCK (H) VS BLOCK (M)

MWENGA MFUNGAJI WA BAO LA KWANZA LA BLOCK (H)

DANNY MFUNGAJI WA BAO LA PILI LA BLOCK (H)

KOCHA WA TIMU YA BLOCK (M) AKITOA MAELEKEZO KWA WACHEZAJI WAKE


KOCHA WA BLOCK (M)



WANAKIDEDEA WA BLOCK (M)

UKOCHA KAZI NGUMU  KWELI HUYU KOCHA WA TIMU YA BLOCK (H) KAJA NA NOTE BOOK KUBWA


WANAKIDEDEA WA  BLOCK (H)


SAM KAZINI



MATOKEO
BLOCK (E) 3 VS BLOCK (T) 2
BLOCK E (enock dak:8 na 85 kennedy dak:17)
BLOCK T ( cantala dak 35 na dak 75 pet)

KIKOSI CHA BLOCK (E)

KIKOSI CHA BLOCK (T)

STEV KAPTENI WA TIMU YA BLOCK (E)

JOHN MCHEZAJI  WA TIMU YA BLOCK (E)

ENOCK (Ozil) mfungaji wa mabao mawili ya TIMU YA BLOCK (E)

CHEZEA CANTARA WEWE

KOCHA WA TIMU YA BLOCK (T) mwenye shati jeupe

MASHABIKI WALIKUWA WENGI  SANA LEO

KENNEDY(FALCAO) MFUNGAJI WA BAO LA PILI KWA TIMU YA BLOCK (E)


RAIS (mwenye suti nyeusi)  WA COLLEGE NATURAL SCIENCE AND MATHEMATICS  ALIKUWEPO

WANAGOLOSO NAO WALIKUWEPO KUGAWA VIPEPERUSHI VYA KUITANGAZA BLOG YETU


KUMBEEE NA NJE WAPOO.



0 comments:

Post a Comment