Pages

Friday, 10 January 2014

YAYA TOURE ASHINDA TENA TUZO YA MWANASOKA BORA WA AFRIKA


Kiungo wa Manchester City Yaya Toure raia wa Ivory Coast ametawazwa kwa mwaka wa tatu mfululizo kuwa mwanasoka bora wa bara la Afrika.

Yaya aliwashinda Mnigeria John Obi Mikel aliyeshika nafasi ya pili na Didier Drogba.

Mara baada ya kupokea tuzo yake Yaya amewashukuru Obi Mikel na Drogba. pamoja na clabu yake ya man city.

 Obbi Mikel naye alikuwa na furaha maana ni kwa mara ya kwanza na yeye kushika nafasi ya pili pia ikumbukwe Obbi alipelekwa na ndege ya kifahari kabisa ya boss wake Ibramovic

 Mfalume wa Africa Drogba naye alimpongeza Yaya kwa kutwaa tuzo hiyo kwa mara tatu mfululizo

0 comments:

Post a Comment