KIKOSI CHA TIMU YA BLOCK (J) BAADA YA KIPINDI CHA KWANZA WAKIWA MBELE KWA BAO MOJA KWA BILA |
KOCHA WA KIKOSI CHA WATU WA MASTERS BLOCK (S) AKITOA MAELEKEZO KWA TIMU YAKE |
MSHAMBULIAJI WA TIMU YA BLOCK (S) MAARUFU KAMA CROUCH (mwenye pens ya yanga) AKIISAWAZISHIA BAO TIMU YAKE NA MATOKEO KUWA MBILI KWA MBILI |
BEKI KITASA MAARUFU KAMA FUSSO, MFUNGAJI WA BAO LA KWANZA LA TIMU YA MASTERS |
GOLIKIPA WA TIMU YA BLOCK (J) AKITOA HATARI LANGONI KWAO |
REFA WA MECHI YA LEO AKITETA JAMBO NA WASIMAMIZI WA MICHUANO HII |
FUSSO KAZINI |
BLOCK (J) WAKIPATA NONDOZ KUTOKA KWA KOCHA WAO |
WANA GOLOSO NAO WALIKUWEPO KUFUATILIA MECHI YA LEO |
BAADA YA MECHI |
HEKA HEKA UWANJANI |
KAMISAA WA MECHI YA LEO |
KAMISAA WA MECHI YA LEO AKITOA MAELEKEZO KWA KOCHA WA TIMU YA BLOCK (S) |
0 comments:
Post a Comment