-Mpira ulianza munamo sa 9:15 alasiri kila timu ilianza kwa kumsoma mwenzake lakini kikosi cha block (E) walikuwa wanapiga pasi nzuri zenye macho haikuchukua muda dak;15 mshambuliaji hatari Kennedy maarufu kama Falcao aliweza kuiandikia timu yake bao la kuongoza, huku vijana kutoka ng`ambo karibu na nqox wakiwa hawana jinsi ya kufanya mpaka mapumziko mtoto wa mjini kutoka kariakoo wakiwa mbele kwa bao moja kwa bila. kipindi cha pili kilianza kwa kasi kila timu ikiwa inatafuta bao la mapema lakini kila timu ilikuwa makini kuokoa hatari katika lango lao. Block(E) walipata pingo baada ya wachezaji wao wawili kupata majeraha na kufanyiwa mabadiliko baada ya kufanyiwa mabadiliko upepo ukangeuka upande wa pili ambao block T walianza kulisakama lango la block E kama nyuki ila washabuliaji wao hawakuwa makini kutupia bao kambani na wakawa wanakosa mabao ya wazi. dak. ya 80 Enock Nguliule (0zil) aliweza kuwanyanyua mashabiki wa timu ya kwa bao nzuri ambalo aliweza kuchambua ngome ya block (T) pamoja kipa na kufunga bao la pili mpaka mwisho wa mchezo
BLOCK (T) 0 VS BLOCK (E) 2
KIKOSI CHA BLOCK (T) |
KIKOSI CHA BLOCK (E) |
KENNEDY (FALCAO) MFUNGAJI WA BAO LA KWANZA LA BLOCK (E) |
ENOCK (OZIL) MFUNGAJI WA BAO LA PILI LA BLOCK (E) |
TIMU ZIKISALIMIANA KABLA YA MECHI |
KOCHA WA BLOCK (E) MOYES AKITOA MAELEKEZO KWENYE MAPUMZIKO |
MSANIFU WA HABARI ZA KIMATAIFA WA GOLOSO AKITOA MAELEKEZO KWA ENOCK MCHEZAJI WA BLOCK (E) AMBAYE PIA NI MSHAMBULIAJI WA TIMU YA GOLOSO FC |
USHINDI RAHAA WATOTO WA MJINI KARIAKOO BLOCK (E) WAKIFURAHI BAADA YA MECHI |
KOCHA WA TIMU YA BLOCK (T) AKITOA MAELEKEZO KWA TIMU YAKEEE |
HEKA HEKA LANGONI KWA BLOCK(E) |
WANAUME KAZINI |
0 comments:
Post a Comment