Pages

Friday, 10 January 2014

SIMBA HAOOO FAINALI NA KCC


Klabu ya Simba maarufu kama wekundu wa msimbazi leo usiku wamefanikiwa kukata tiketi ya kucheza fainali ya kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga URA ya Uganda mabao 2-0.
mabao ya Simba kwenye mchezo huo yamefungwa na beki mganda Joseph Owino pamoja na kiungo Amri Kiemba
 kiungo Owen Kasule wa URA akilimwa kadi nyekundu kwa kumchezea madhambi Ramadhani Singano messi.
Simba sasa itacheza fainali siku ya Jumatatu na timu ya KCC kutoka UGANDA iliyoitoa AZAM leo jioni kwa mabao 3-2.
          SIMBA VS KCC
         FAINAL SA2:00 USIKU
         UWANJA WA AMANI
         LIVE; AZAM TV
   

0 comments:

Post a Comment