Pages

Thursday, 9 January 2014

BLOCK (I) YAFUNGUA PAZIA LA INTER-BLOCKS CUP KWA KUWAFUNGA MAJIRANI ZAO BLOCK (G) BAO MOJA KWA BILA

KIKOSI CHA BLOCK (I) KIMEIBUKA NA USHIDI  MECHI YA LEO KWA GOLI MOJA KWA BILA 
KIKOSI CHA BLOCK (G) kikiwa na golikipa  wa timu ya GOLOSO Pitta jackson kimefungwa bao 1 kwa 0 na BLOCK (I)

0 comments:

Post a Comment