Pages

Saturday, 18 January 2014

BLOCK (R) WATINGA NUSU FAINALI

MATOKEO
BLOCK(E) 1 VS BLOCK (R) 2
wafungaji  
block(H)
(masai dak:10 jerremia dak:30)
block (E)
(lucas dak: 58)

MSIMAMO
                        
                         P     W     D    L    F        A    GD     Pts
BLOCK(H)      2       2     0      0     5       2      3        6
BLOCK(R)      2       1     0      1     3       4      -1       3
BLOCK(E)      2       0     0      2      2      4      -2       0


MATUKIO YA MECHI YA LEO



MASAI MFUNGAJI WA BAO LA KWANZA LA BLOCK(R)

MASAI KAZINI

REFA AKATENGA PENATY BAADA YA STEV KUUNAWA MPIRA NDANI YA 18

JAMAA AKAKOSA GOLIKIPA AKACHEZA

GODY MCHEZAJI WA BLOCK (E) ALIPEWA RED KADI

JOHN MCHEZAJI WA BLOCK(E) NAYEE AKAPEWA RED KADI

WINGA LUCAS MFUNGAJI WA BAO LA BLOCK(E)

RUTONA MWANAHABARI WA KUJITENGEMEA AKIWA KAZINI

FITINA FITINA KATIBU WA GOLOSO RAJABU (kushoto) AKITOA MAELEKEZO KWA ENOCK MCHEZAJI WA BLOCK(E) AMBAYE PIA NI MWANAGOLOSO


JAMAA ALILIA UWANJANI BAADA YA KUPIGA KONA ULIYOZAA BAO LA KWANZA


0 comments:

Post a Comment