MATOKEO
BLOCK (F) 2 VS BLOCK(H) 4
wafungaji
block(F)
(joseph dak:30 ibrahim dak:88)
block (H)
(mwenga dak:14 danny dak:22,70 meshack dak:50)
MATUKIO YA MECHI YA LEO
 |
TIMU ZIKIPATA MAELEKEZO KUTOKA KWA WAANDAAJI |
 |
MWENGA MFUNGAJI WA BAO LA KWANZA LA BLOCK(H) |
 |
DANNY MFUNGAJI WA MABAO MAWILI YA TIMU YA BLOCK(H) |
 |
BLOCK(H) WAKISHAGILIA BAO LA PILI |
 |
JOSSEPH MFUNGAJI WA BAO LA KWANZA LA BLOCK (F) |
 |
MPIRA FITINA: HUYU NI KOCHA WA BLOCK (I) (mwenye shati jeupe) AKITOA MAELEKEZO KWA CAPTENI WA TIMU YA BLOCK(H) |
 |
FITINA FITINA: CAPTENI WA TIMU YA BLOCK(E) NAYE HAKUWA NYUMA KUWAPA HAMASA VIJANA WA BLOCK(F) |
 |
MESHACK MFUNGAJI WA BAO LA TATU |
 |
SAM AKIMPONGEZA MECHACK KWA BAO ZURI |
 |
CHEZEA DANNY (EMMANUEL GOLOTA) AKISHAGILIA BAO LA TATU |
 |
IBRAHIM MFUNGAJI WA BAO LA PILI LA BLOCK(F) |
0 comments:
Post a Comment