-Vijana kutoka kijijini BLOCK(R) wametinga fainali baada ya kuwafunga WASAFI vijana kutoka mjini mtaa wa pili BLOCK (I) kwa goloso moja kwa bila lililofungwa dak:88 na Abdul
FAINALI
YA WANAUME
BLOCK(H) VS BLOCK (R)
YA WANAWAKE
KOMBAINI ZA
BLOCK(A,D,K) VS BLOCK (L,N,O)
MSHINDI WA TATU
BLOCK (F) VS BLOCK (I)
WAFUNGAJI
5- Danny (block H)
4-masai (block R)
3-mwenga (block H)
-alex (block M)
-enock (block E)
-ibrahim (block F)
MATUKIO YA MECHI YA BLOCK(I) VS BLOCK(R)
ABDUL MFUNGAJI WA BAO PEKEE LA BLOCK (R) |
MASAI AKIPIGA GOLI KIKI |
REFA WA MECHI YA LEO AKITETA JAMBO NA KAMISAA WA MECHI |
KOCHA WA BLOCK (R) |
MROPEEEE KAZINI |
KOCHA WA BLOCK (I) AKITOA MAELEKEZO KWA WACHEZAJI WAKE MAJENGA, SANDEE NA MRISHOO |
KOCHA MSAIDIZI WA BLOCK (R) |
FURAHA BAADA YA MECHI |
0 comments:
Post a Comment